728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, October 8, 2016

  KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI PROFESA JUSTIN NTALIKWA AFANYA ZIARA KATIKA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTTE – MTWARA

  Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia) akimwonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa (kushoto) sehemu ya kiwanda hicho.
  w2
  Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (kulia) akimwonesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa (kushoto) roboti maalum ya kuchukua sampuli mbalimbali  za kemikali/udongo  kwenye maabara ya kiwanda hicho (haipo pichani)
  w3
  Mtalaam kutoka Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Reuben Malambugi (kushoto) akielezea shughuli za kiwanda hicho.
  w4
  Kutoka kulia; Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa Justin Ntalikwa, Kamishna Msaidizi wa Madini – Kanda ya Kusini Mhandisi Benjamin Mchwampaka na Mjumbe wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), Dk. Shufaa Al- beity  wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal (hayupo pichani).
  w5
  Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Saruji cha Dangotte, Harpreet Duggal akielezea shughuli za kiwanda  hicho mbele ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa pamoja na wawakilishi kutoka Wizara  ya Nishati na Madini, Shirika la Umeme Nchini (TANESCO)  na Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) ( hawapo pichani)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI PROFESA JUSTIN NTALIKWA AFANYA ZIARA KATIKA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTTE – MTWARA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top