728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 3, 2016

  KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA, LEO JIJINI DAR ES SALAAM


  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Makamu wa Rais wa Cuba,Salvador Valdes Mesa kabla ya kuanza mazungumzo yao leo katika hotel ya Hyatt, Kilimajaro Kempiski jijini Dar es Salaam, leo.Kulia ni Msemaji wa CCM Christopher Ole SendekaKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais wa Cuba, Salvador Valdes Mesa , leo jijini Dar es Salaam. Picha zote na Bashir Nkoromo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA CUBA, LEO JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top