728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 19, 2016

  KAMATI TENDAJI YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI TANZANAIA (BAMMATA) YAFANYA MKUTANO WA MAANDALIZI YA MICHEZO YA BARAZA HILO

  Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Muhammed Mahmoud (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa maandalizi ya michezo ya majeshi Tanzania itakayofanyika Zanzibar mwaka huu.
  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Muhammed Mahmoud na Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA wakiwa katika picha ya pamoja baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Maandalizi ya Michezo ya Majenshi Tanzania itakayofanyika Zanzibar.
  Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Generali Civil Mhaiki akimkaribisha Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Muhammed Mahmoud kufungua mkutano wa Kamati Tendaji ya Bara hilo unaofanyika Makao Makuu ya Kikosi cha Valantia Mtoni Mjini Zanzibar, (kulia) Makamu Mwenyekiti wa BAMMATA, CDR wa KMKM Muhammed Ali Bakar.
  Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Muhammed Mahmoud akifungua Mkutano wa Kamati Tendaji ya BAMMATA wa maandalizi ya michezo ya Baraza hilo unaofanyika Makao Makuu ya Valantia, Mtoni Mjini Zanzibar.
  Wajumbe wa Kamati Tendaji ya BAMMATA wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Muhammed Mahmoud (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa maandalizi ya michezo ya majeshi Tanzania itakayofanyika Zanzibar mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KAMATI TENDAJI YA BARAZA LA MICHEZO YA MAJESHI TANZANAIA (BAMMATA) YAFANYA MKUTANO WA MAANDALIZI YA MICHEZO YA BARAZA HILO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top