728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 9, 2016

  HUYU HABA NDIYE MWANAFUNZI KINARA WA SOMO LA BAILOJIA KITAIFA

   Mwanafunzi bora wa somo la bailojia kitaifa kwa mwaka 2016, Bi. Anab Faisal Issa (katikati) akiwa katika picha na wazazi wake, Bw. Faisal Issa (wa pili kulia) na Bi. Beng’i Issa (wa pili kushoto) pamoja na walimu wa shule ya sekondari Feza mara baada ya kupokea tuzo katika hafla fupi iliyoandaliwa na Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali kwa lengo la kuwatambua na kuwapa moyo wanafunzi kupenda masomo ya sayansi.  Hafla hiyo ilifanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Afisa tawala wa wizara ya afya Bw Michael John akikabidhi cheti kwa mwanafunzi bora wa somo la bailojia kitaifa kwa mwaka 2016 kutoka shule ya Feza  Bi.Anab Faisal Issa katika hafla iliyoandaliwa na Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali kwa lengo la kuwatambua na kuwapa moyo wanafunzi wengine kupenda masomo ya sayansi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HUYU HABA NDIYE MWANAFUNZI KINARA WA SOMO LA BAILOJIA KITAIFA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top