728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 5, 2016

  HIVI NDIVYO RAIS DKT MAGUFULI ALIVYOMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC, IKULU,JIJINI DAR ES SALAAM

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwaheshima yake
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa heshima yake

   Rais Joseph Kabila akimwamkia Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
   Rais Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi,  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

   Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake

    Rais Joseph Kabila akisalimiana na  Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
    Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC
   Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC. Kutoka kushoto ni rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi
   Sehemu ya wageni waalikwa katika dhifa hiyo akiwemo Prof Makame Mbarawa, Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Suzan Kolimba na Mawaziri kutoka DRC
   Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa mambo ya Nje wa DRC Mhe. Raymond Tshibanda 
   Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC
   Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi
   Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Joseph Kabila wa DRC alikuwepo
   Wadau waalikwa 
  Waalikwa
   Meza kuu ikiwa na Rais Dkt Magufuli na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli
   Rais Dkt Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
   Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji
    Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania
   Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
   Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Mkarimani mahiri Dkt. Mussa Lulandala akiwa kazini
   Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake
   Mama Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Meza kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
   Wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
   Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa 
   Cecilia Kabila na wageni waalikwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa
   Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania  ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia
   Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania  ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia
   Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi
   Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
   Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
   Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
   Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
  Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Spika Mstaafu Mhe Anne makinda akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Mabalozi wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Balozi Mpya wa Uingereza nchini awasili Bi. Sarah Cooke akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

   Wageni kutoka DRC wakimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Christian Bella akiendelea kutumbuiza 
   Cecilia Kabila akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
  mwanamuziki Christian Bella akishukuru 
   Balozi akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
  Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dk.Ahamada El Badaoui Mohamed  akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Mgeni kutoka DRC akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo

    Kaimu Balozi wa Burundi nchini, Bw. Prefere Ndayishimiye akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiongea na mawaziri wao wa nchi za nje  Ikulu jijini Dar es salaam
   Wageni wafurahia Burudani
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi  Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi  Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mama Janeth Magufuli na mgeni wao Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakipata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi  Ikulu jijini Dar es salaam. 
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi  Ikulu jijini Dar es salaam
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulina mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakishukuru baada ya kupata burudani kutoka kwa Brass band ya Polisi  Ikulu jijini Dar es salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakiagana na viongozi wastaafu Ikulu jijini Dar es salaam
    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akikumbatiana na mdogo wake Cecilia 
     Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana  na mdogo wake Cecilia 
      Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiagana  na mdogo wake Cecilia 
   Ngoma ya Msewe ikichezwa na kundi la utamaduni la JKT
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mgeni wake  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila wakitumbuizwa na kikundi cha Brass band cha Mount Usambara chini ya Mzee Hoza Ikulu jijini Dar es salaam
   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.
  PICHA NA IKULU.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO RAIS DKT MAGUFULI ALIVYOMWANDALIA DHIFA YA TAIFA RAIS JOSEPH KABILA WA DRC, IKULU,JIJINI DAR ES SALAAM Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top