728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 16, 2016

  EFM 93.7 YAENDELEA KUSAKA VIPAJI VYA SINGELI MKOANI PWANI

   Msaani chipukizi,Mussa  Mkumba a.k.a Dogo Jet akionesha uwezo wake jukwaani katika tamasha la kusaka  vipaji vya waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
   Msaani chipukizi,Idd Issa a.k.a Mauwezo akionesha uwezo wake jukwaani katika tamasha la kusaka  vipaji vya waimbaji wa nyimbo za singeli katika viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.


  Mashabiki wakipagawishwa na wasanii waimbaji wa nyimbo za singeli katika  viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.

  Mashabiki wakipagawishwa na wasanii waimbaji wa nyimbo za singeli katika  viwanja vya Kisemvule mkoani Pwani.
  Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: EFM 93.7 YAENDELEA KUSAKA VIPAJI VYA SINGELI MKOANI PWANI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top