728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 13, 2016

  Dkt Shein awasili Mwanza leo kuelekea Simiyu kuzima Mwenge kesho.

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la MapinduziDk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe,John Mongela (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Jenister Muhagama (wa pili kushoto) na Waziri wa kazi,uwezeshaji Vijana,Wazee Wanawake na Moudeline Cyrus Castico (kushoto)baada ya mapokezi alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza akielekea katika Mkoani Simiyu kushiriki sherehe za uzimaji mbio za Mwnge wa Uhuru Kitaifa zinazotarajiwa kufanyika kesho,[Picha na Ikulu.]
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Dkt Shein awasili Mwanza leo kuelekea Simiyu kuzima Mwenge kesho. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top