728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, October 11, 2016

  DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUFANYA KAZI KWA BIDII

   Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akitoa maelezo kuhusu Utumishi wa Umma nchini wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kinachoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi. Kushoto muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin.
   TUNATEKELEZA: Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto) Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) wakiwa katika majadiliano kuhusu Utumishi wa Umma nchini.
  Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akichangia hoja kuhusu uwajibikaji ndani ya Utumishi wa Umma wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kilichoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Wanaomsikiliza ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto).

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUFANYA KAZI KWA BIDII Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top