728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 27, 2016

  DKT MGWATU AWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA KARAKANA ZA TEMESA

  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme- TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kulia) akiwaelekeza jambo watumishi wa TEMESA Arusha alipotembelea kituoni hapo kutoka kushoto waliosimama ni Meneja wa TEMESA Arusha Mhandisi Heriel Mteri, katikati ni Mhasibu wa TEMESA Arusha ndugu Simon Ringia na kulia ni Mhasibu Msaidizi wa TEMESA Arusha Bi. Rebecca Temba.
  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kulia) akitoa maelekezo kwa Mkuu wa Karakana ya Magari chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Joseph Kotini wakati alipotembelea chuo hapo.
  Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu(kulia) pamoja na Mkuu wa Karakana ya Magari chuo cha Ufundi Arusha Bw. Joseph Kotini wakiangalia shimo linatumika kukagua na kufanya matengenezo madogo ya magari chuoni hapo.
  Mkuu wa Karakana ya Magari Chuo cha Ufundi Arusha Bw. Joseph Kotini (kushoto) akitoa maelezo kwa Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu juu ya mtambo unaotumika kufanya ukaguzi na matengenezo makubwa ya magari chuoni hapo.Picha zote na Theresia Mwami TEMESA Arusha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DKT MGWATU AWEKA MIKAKATI YA KUIMARISHA KARAKANA ZA TEMESA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top