728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, October 15, 2016

  DC NDEJEMBI ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KATIKA KIJIJI CHA SILWA KATA YA PANDAMBILI NA KUMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI CHA SILWA.

  Leo (jana) baada ya shuguli ya kuadhimisha miaka 17 toka Mwalimu Nyerere afariki, DC Ndejembi na Mkurugenzi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kongwa Ndg Izengo walifanya ziara ya kushtukiza katika Kijiji Cha Silwa kata ya Pandambili Baada ya kupata taarifa kuna uchimbaji wa madini aina ya KONISUPHIRE unaofanyika na wafanyabiashara bila kua na vibali vyovyote. 

  Baada ya kufika eneo la tukio wakabaini mtendaji wa kijiji Ndg Michael Boniface Magenje alitoa eneo bila kutoa nakala kwenye Kata wala Halmashauri na hakuhusisha serikali ya kijiji. Hivyo DC akachukua hatua kusimamisha uchimbaji na kumuagiza Mkurugenzi kumsimamisha kazi mtendaji huyo mara moja kwa kutokufuata taratibu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC NDEJEMBI ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KATIKA KIJIJI CHA SILWA KATA YA PANDAMBILI NA KUMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI CHA SILWA. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top