728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 10, 2016

  DC HANDENI GODWIN GONDWE AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA HALMASHAURI YA WILAYA HIYO

   
   Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe akizindua umezaji wa dawa za Kichocho  kwa kumpatia mmoja wa wanafunzi wa shule ya Mkumburu, kushoto ni mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Handeni, William Makufwe
   Dc Godwin Gondwe akinawa mikono kwa maji safi na salama tayari kwa kuzindua a umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.
   Mkuu wa wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gindwe akizungumza na wanafunzi mambo mbalimbali mapema leo kabla ya kuzindua umezaji dawa za kichocho katika shule za msingi zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Handeni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: DC HANDENI GODWIN GONDWE AZINDUA ZOEZI LA UMEZAJI DAWA ZA KICHOCHO NA MINYOO YA TUMBO KATIKA SHULE ZA MSINGI ZA HALMASHAURI YA WILAYA HIYO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top