728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, October 10, 2016

  BAADA YA NYASA BOY KUTOKA JIJINI MWANZA KUFANYA KAZI NA SAJNA, APATA NAFASI YA KUFANYA KAZI NA BARAKA DA PRINCE

  Nyasa Boy si jina geni miongoni mwa wasanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Alianza kujulikana Jijini Mwanza mwaka mmoja uliopita baada ya kufanya kazi na Mc Darada, iliyoita Chongoroa.

   Mwaka huu 2016 ameachia wimbo mpya uitwao Mapenzi Nivute aliofanya na Sajna. Wimbo huo umefungua milango mipya kwani baada ya Baraka Da Prince kuusikia, hakusita kukubali kufanya kazi na Nyasa Boy ambaye anatokea kundi la Tanzania One la Jijini Mwanza.

  Bonyeza HAPA Kusikiliza ama bonyeza Play hapo chini.
  Kwa maswali/ Ushauri wasiliana nasi kwa nambari 0768175985
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: BAADA YA NYASA BOY KUTOKA JIJINI MWANZA KUFANYA KAZI NA SAJNA, APATA NAFASI YA KUFANYA KAZI NA BARAKA DA PRINCE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top