728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, October 6, 2016

  Ana kwa Ana na Mhe Peter Serukamba.....Leo ndani ya Kilimanjaro Studio

  Usikose kuungana na Mubelwa Bandio leo (Oktoba 6, 2016) saa kumi na mbili jioni kwa saa za Marekani Mashariki (6:00pm ET) katika mahojiano ya moja kwa moja na M'bunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CCM Mhe. Peter Serukamba.

  Tutajadili mengi kuhusu Tanzania yetu ya sasa na ile tuitakayo, nawe utapata fursa ya kuuliza swali, kutoa maoni na hata kushauri.

  Ni kupitia www.kwanzaproduction.com ama Vijimambo Radio katika TuneIn http://tunein.com/radio/Vijimambo-Radio-s221705/
  Kwa walio Marekani na Canada, piga simu 716 746 0086 (saa 24) ama 240 454 0093 (tuwapo moja kwa moja studio)
  Karibu KILIMANJARO STUDIO (bofya hapa)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Ana kwa Ana na Mhe Peter Serukamba.....Leo ndani ya Kilimanjaro Studio Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top