728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, October 9, 2016

  AFRICAN LYON YAIFUNGA NDANDA FC 1-0

   Mshambuliaji wa Ndanda FC, Omary Mponda akichuana na kiungo wa African Lyon, Omary Salum katika mchezo wa LigiKuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. African  Lyon ilishinda 1-0. (Picha na Franis Dande)
   Mshambuliaji wa Ndanda FC, Omary Mponda (kushoto) akiwania mpira na beki wa African Lyon, William Otong.
   Beki wa African Lyon, Milaji Seleman (kushoto) akiwania mpira na mshambuliaji wa Ndanda, Riphat Hamis.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AFRICAN LYON YAIFUNGA NDANDA FC 1-0 Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top