728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, October 12, 2016

  AFP YAWAASA WANZANZIBAR KUWEKEZA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI

   Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.
   Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFPSaid Soud Said akifafanua jambo alipofanya mazungumzo na Waandishi wa Habari kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.kulia ni Mkuu wa Habari  Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Ramadhani Ali.
   -Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said  alipofanya mazungumzo nao kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.
   Muandishi wa Habari kutoka Hits FM Jazaa Kombo akiuliza maswali katika Mkutano wa Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said  kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.

  Muandishi wa Star Tv Abdalla Pandu akiuliza maswali katika  Mkutano wa Waziri asiekuwa na Wizara Maalum na Mwenyekiti wa Chama cha Wakulima AFP Said Soud Said  kuhusiana na kuwataka Wazanzibari kuwekeza ili kujikwamua kiuchumi,katika ukumbi wa Jumba la Utamaduni Rahaleo Zanzibar.

  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: AFP YAWAASA WANZANZIBAR KUWEKEZA ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top