728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 16, 2016

  WAZIRI NAPE ATOA WITO KWA WADAU KUTOA MAONI ILI KUUBORESHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016.

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) ambapo alitoa wito kwa wadau mbalimbali katika sekta ya habari kutoa maoni ili kuuboresha
  Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016(The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma, Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji wa Serikali Bw. Hassan Abbas.

  Baadhi ya waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa Michezo Mhe. Nape Nauye (MB) katika mkutano aliufanya na kutoa wito kwa wadau kuboresha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa Mwaka 2016(The Media Service Bill, 2016) uliosomwa kwa mara ya kwanza leo Bungeni Mjini Dodoma. PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI NAPE ATOA WITO KWA WADAU KUTOA MAONI ILI KUUBORESHA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top