728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 14, 2016

  WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Gerge Simbachawene bungeni mjini Dodoma  Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  sim2
  Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlimba, Susan Kiwanga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  sim3
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa (kulia) na Mbunge wa Mvomero, Suleiman Saddiq kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  sim4
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki Lulida kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top