728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, September 24, 2016

  WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI, MAFIA

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mafia, Mkoani Pwani.  Septemba 24, 2016. 
   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia) akiwa ameshika moja ya samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mafia Septemba 24, 2016.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA SAMAKI, MAFIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top