728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 28, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI KIBITI KWA ZIARA YA SIKU MOJA

  Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Zainab Vullu baada ya kuwasili kwenye  Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibiti kwa ziara ya siku moja wilayani humo Septemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  kibi2
  Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Wabunge, Zaibab Vullu wa Viti Maalum (kulia) na  Ali Ungando wa Kibiti  baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kibiti akiwa katika ziara ya  siku moja wilayani humo Septemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI KIBITI KWA ZIARA YA SIKU MOJA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top