728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 4, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI DODOMA KWA AJILI YA BUNGE

   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Septemba 4, 2016 kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    Waziri Mkuu,  Kassim Majaliwa akisalimiana Septemba 4, 2016  na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya vikao vya Bunge vinavyotarajiwa kuanza Septemba 6, 2016. .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI DODOMA KWA AJILI YA BUNGE Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top