728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 2, 2016

  WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waislamu baada ya kushiriki katika Sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kushiki sala ya Ijumaa kwenye Msikitiwa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Bilal wakishiriki katika sala ya Ijumaa kwenye Msikiti wa Anwar, Msasani jijini Dar es salaam Agosti 2, 2016.

  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MSIKITI WA ANWAR- MSASANI JIJINI DAR Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top