Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Humudi Abdul (kulia) akipokea mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha wateja wa rejareja wa First National Bank (FNB), Francois Botha (kushoto) kwa niaba ya washindi kumi wa kampeni inayoendeshwa na benki hiyo kuhamasisha uwekaji akiba ili kujikwamua kiuchumi. Makabidhiano hayo yamefanyika jijini Dar es salaam leo.
Meneja
Masoko wa First National Bank, Blandina Mwachang’a akiwapigia simu
washindi wa droo ya kampeni inayoendeshwa na benki hiyo kuhamasisha
uwekaji akiba ili kujikwamua kiuchumi ambapo washindi kumi walijipatia
shilingi milioni moja kila mtu. Wengine kwenye picha ni Meneja wa Sheria
wa benki hiyo, David Sarakikya (kushoto), Mtaalamu wa Mfumo wa Habari
na Mawasiliano wa FNB, Bi. Ilakiza Hezwa na Afisa Mwandamizi wa Bodi ya
Michezo ya Kubahatisha, Humudi Abdul (kulia).
Home
BIASHARA
HABARI
HABARI MBALIMBALI
JAMII
TAARIFA MBALIMBALI
WAJASILIAMALI
WATANZANIA 30 WAFAIDIKA NA KAMPENI YA FNB KWA KUJIZOLEA MILIONI 30
WATANZANIA 30 WAFAIDIKA NA KAMPENI YA FNB KWA KUJIZOLEA MILIONI 30
MICHUZI BLOG
Tuesday, September 06, 2016
BIASHARA,
HABARI,
HABARI MBALIMBALI,
JAMII,
TAARIFA MBALIMBALI,
WAJASILIAMALI,
Share This
Tags
# BIASHARA
# HABARI
# HABARI MBALIMBALI
# JAMII
# TAARIFA MBALIMBALI
# WAJASILIAMALI
Share This
Jiachie Blog
WAJASILIAMALI
Labels:
BIASHARA,
HABARI,
HABARI MBALIMBALI,
JAMII,
TAARIFA MBALIMBALI,
WAJASILIAMALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Author Details
A Tanzanian blog operating since 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.
No comments:
Post a Comment