728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 27, 2016

  Warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo yafunguliwa


  Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira toka Ofisi ya Makamu wa Rais Magdalena Mtenga akimkaribisha mgeni Rasmi kufungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu  iliyoandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Idara ya Mazingira.
  muz2
  Kaimu wa Mkurugenzi Idara ya Mazingira,  Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akifungua warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu juu ya ukusanyaji takwimu za matumizi ya kemikali mbadala wa kemikali. Warsha hiyo imeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais.
  muz3
  Mgeni Rasmi katika warsha hiyo Kaimu wa Mkurugenzi Idara ya Mazingira,  Ofisi ya Makamu wa Rais Richard Muyungi akiwa katika picha ya pamoja na Wahudhuriaji wa warsha ya wakufunzi wa vyuo va VETA na mafundi mchundo wa viyoyozi na majokofu juu ya ukusanyaji takwimu za matumizi ya kemikali mbadala zinazomong’onyoa tabaka la ozoni Nchini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Warsha ya Wakufunzi wa vyuo vya VETA na Mafundi mchundo yafunguliwa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top