728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 14, 2016

  WAKULIMA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI RUVUMA WALALAMIKIA UTARATIBU WA KUNUNUA MAZAO HAYO.

  Baadhi ya wakulima wa zao la Mahindi mkoani Ruvuma, wamelalamikia utaratibu wa Serikali wa kununua mahindi ya wakulima kiasi cha Tani Moja tu kwa kila Mkulima sawa na gunia Kumi na kwamba kiasi hicho ni kidogo mno ikilinganishwa na idadi kubwa ya mahindi waliyozalisha katika msimu huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: WAKULIMA WA ZAO LA MAHINDI MKOANI RUVUMA WALALAMIKIA UTARATIBU WA KUNUNUA MAZAO HAYO. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top