728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 9, 2016

  Viongozi Ukawa wakutana faragha

  ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE: Viongozi wa Ukawa wamekutana jijini Dar es Salaam kwa kikao cha faragha kinachoendelea muda huu jijini Dar es Salaam.

  Kikao hicho kinachomshirikisha kada wa zamani wa CCM, Kingunge Ngombale Mwiru, kimewakutanisha Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu.
  Stori kamili iko hapa http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3375530-39k…/index.html

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Viongozi Ukawa wakutana faragha Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top