728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 29, 2016

  UZINDUZI WA MATOKEO YA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI YAFANYIKA ZANZIBAR.

   Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed wamwanzo kushoto akionesha kitabu cha Uzinduzi wa  Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Yubu Mohd Mahamoud na mwengine ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi.
  Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akimkabidhi Muakilishi wa UNICEF Francesca Morandini kitabu cha  Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. 

   Baadhi ya Waalikwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
   Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi akitoa maelezo kuhusu utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika Uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
   Muakilishi wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Zanzibar Anna Senga akitoa maelezo kuhusu  utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15 katika Uzinduzi uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
   Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Ayoub Mohd Mahmoud akitoa hotuba ya makaribisho kwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa  utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya binafsi wa Mwaka 2014/15  katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

   Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
   Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dk,Khalid Salum Mohammed wamwanzo kushoto akizindua Matokeo ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2014/15 uliofanyika katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar. katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Yubu Mohd Mahamoud na mwengine ni Mtakwimu Mkuu wa Serikali ya zanzibar Mayasa Mahfoudha Mwinyi.
  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UZINDUZI WA MATOKEO YA UTAFITI WA MAPATO NA MATUMIZI YA KAYA BINAFSI YAFANYIKA ZANZIBAR. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top