728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, September 3, 2016

  Usajili wa MeTL Career Fair (Job Bonanza) kufungwa leo jumamosi changamkia fursa


  Usajili wa MeTL Career Fair (Job Bonanza) kufungwa leo jumamosi changamkia fursa.

  Kama wewe ni mhitimu katika Uhandisi au Utawala (Masoko, Mahusiano, Fedha) na una ari ya kujifunza, ukiwa na mtazamo chanya wa mafanikio na mfuatiliaji wa maadili katika kazi, njoo ujiunge nasi katika bonanza hili la uchambuzi wa ajira.
  Rasilimali Watu
  Mauzo
  Uhasibu
  Masoko
  Uhandisi
  Kilimo
  Nguo
  Kwani unaweza ukawa mmoja kati ya watu 25 tutakao wachagua kwa ajili ya kujiunga kwenye programu ya uendelezaji wa wahitimu wa vyuo vikuu.Na ukibahatika kuwa mmoja wapo kati ya hao utapata nafasi ya kujifunza kwa vitendo katika viwanda vyetu vilivyopo maeneo mbalimbali.Pia utapata nafasi ya kufundishwa mifumo ya uendeshaji wa viwanda vya kisasa.     
                  
  Utakuwa chini ya wakufunzi waliobobea katika kazi zao duniani ambao  watakuwezesha wewe kukua katika kazi na kushika nyadhifa kwenye kazi yako.
  Zaidi ya yote hayo utakayofanyiwa pia utalipwa ili kujifunza
  Kwa taarifa zaidi tazama vipeperushi vyetu:

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Usajili wa MeTL Career Fair (Job Bonanza) kufungwa leo jumamosi changamkia fursa Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top