728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 13, 2016

  UJENZI WA UKUTA WA OCEAN ROAD KUANZA HIVI KARIBUNI

   Bw. Bernard Odhuno Msimamizi wa Mradi  wa Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke (kwa niaba ya Ofisi ya Makamu wa Rais) akibadilishana Mkataba na Bw. Sheikh Bawazir  Mkurugenzi Mtendaji wa   Kampuni ya Dezo Civil Contractors iliyopewa kazi ya  Ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.
  Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava  (wa kwanza kushoto) akishudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa Ukuta wa (Ocean Road na Kigamboni) na Ujenzi wa Miundombinu ya maji taka katika Manispaa za Ilala na Temeke.  Ujenzi huo utafanywa na Kampuni ya Dezo Civil Contractors. Wengine katika picha ni wawakilishi wa Kampuni ya Dezo na Watendaji kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: UJENZI WA UKUTA WA OCEAN ROAD KUANZA HIVI KARIBUNI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top