728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 27, 2016

  TIPER yakabidhi zawadi kwa washindi wa Rock City Marathon

   Meneja Mahusiano Mkuu wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi zawadi na cheti cha ushiriki wa Rock City Marathon mmoja wa washindi kwa upande wa mbio fupi katika michuano hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kampuni ya Tiper ni miongoni wa wadhamini wakubwa wa mbio hizo. Wengine ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili kulia)
   Meneja Mahusiano Mkuu wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi zawadi na cheti cha ushiriki wa Rock City Marathon mmoja wa washindi katika michuano hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kampuni ya Tiper ni miongoni wa wadhamini wakubwa wa mbio hizo. Wengine ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili kulia) na Mwanariadha mkongwe hapa nchini Bw Juma Ikangaa.
   Meneja Mahusiano Mkuu wa Kampuni ya kuhifadhi mafuta nchini Tiper, Bw Emanuel Kondi akimkabidhi cheti cha ushiriki wa Rock City Marathon mmoja wa washindi kwa upande wa mbio fupi katika michuano hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Kampuni ya Tiper ni miongoni wa wadhamini wakubwa wa mbio hizo. Wengine ni pamoja na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio hizo, Bw Zenno Ngowi (wa pili kulia)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TIPER yakabidhi zawadi kwa washindi wa Rock City Marathon Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top