728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 28, 2016

  (TFS) WASAINI MKATABA WA KUUZIANA MALIGHAFI YA MITI AINA YA MISINDANO NA MIKARATUSI NA KIWANDA CHA KARATASI CHA MUFINDI (MPM)

  Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos Santos (kulia) akizungumza katika hafla fupi ya kusainiana mkataba wa kuuziana Malighafi  ya miti aina ya Misindano na  Mikaratusi baina ya Wakala huyo na  kiwanda Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM) yaliyofanyika jijini jana Dar es Salaam . ( Picha na Lusungu Helela, Wizara ya Maliasili na Utalii)
  waka1
  Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos Santos (kulia)  na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM) Jaswart Singhrai  wakisaini mkataba wa kuuziana Malighafi  ya miti aina ya Misindano na  Mikaratusi baina ya Wakala huyo na  kiwanda  hicho yaliyofanyika jana jijini  Dar es Salaam . ( Picha na Lusungu Helela, Wizara ya Maliasili na Utalii)
  waka2
  Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos Santos (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa kuuziana Malighafi  ya miti aina ya Misindano na  Mikaratusi na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM) Jaswart Singhrai jana jijini Dar es Salaam.  ( Picha na Lusungu Helela, Wizara ya Maliasili na Utalii)

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: (TFS) WASAINI MKATABA WA KUUZIANA MALIGHAFI YA MITI AINA YA MISINDANO NA MIKARATUSI NA KIWANDA CHA KARATASI CHA MUFINDI (MPM) Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top