728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 21, 2016

  TANZIA: mtangazaji wa Channel Ten kipindi cha "Utalii Tanzania" Bw. Cassius Mdami afariki dunia

  Aliyekuwa mtangazaji wa Channel Ten, kipindi cha Utalii Tanzania, Bw. Cassius Mdami (pichani) amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Mazimbu mkoani Morogoro , ndugu na mwajiri wake  wamethibitisha. Tutawajulisha mipango ya mazishi mara tukipata taarifa.
  MOLA AIWEKE ROHO YA MAREHEMU 
  MAHALA PEMA PEPONI
  -AMINA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  1 comments:

  1. Mwenyzi mungu ailaze Mali Peña peponi riho take amina

   ReplyDelete

  Item Reviewed: TANZIA: mtangazaji wa Channel Ten kipindi cha "Utalii Tanzania" Bw. Cassius Mdami afariki dunia Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top