728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 15, 2016

  SERIKALI IMEJIPANGA KUJENGA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAHINDI MKOANI RUVUMA

  Katika kuhakikisha wakulima wananufaika na zao la mahindi mkoani ruvuma serikali imejipanga kujenga viwanda vya kusaga mahindi mkoani humu,pia inawakaribisha wa wekezaji kujitokeza kujenga viwanda vya kusaga mahindi.
  Na hii inatokana na mkoa wa ruvuma kuzalisha kwa wingi mahindi zaidi ya tani laki nane  kwa kila mwaka ambapo mahindi mengi huaribika huku na wakati mwingine wakulima huyauza mahindi hayo kwa bei ya hasara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: SERIKALI IMEJIPANGA KUJENGA KIWANDA CHA KUSINDIKA MAHINDI MKOANI RUVUMA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top