728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 21, 2016

  RC Kagera aipokea Kilimanjaro Queens, Awapongeza kwa ushindi

  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akipokea kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili.
  rck5
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akiinua juu kikombe cha ubingwa wa CECAFA kwa wanawake alichokipokea kutoka kwa Nahodha wa Kilimanjaro Queens Sophia Mwasikili(kulia).
  rck6
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu(kushoto) akipokea Bendera ya Taifa kutoka kwa katibu wa Chama cha Mpira mkoani Kagera Bw. Salum Chama mara baada ya Mabingwa wa CECAFA kwa wanawake Kilimanjaro Queens kuwasili kutoka Nchini Uganda katikati ni Mwenyekiti wa Soka la wanawake Amina Karuma.
  rck2
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.
  rck3
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.
  rck1
  Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Generali Mstaafu Salim Kijuu akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa Kilimanjaro mara baada ya kuwasilini Mkoani Kagera wakitokea nchini Uganda kushiriki mashindano ya CECAFA kwa wanawake ambapo wameibuka mabingwa kwa mwaka 2016.c

  (Picha na Idara ya Habari Maelezo)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  2 comments:

  1. Wanawake wanrutoa kimasomaso katika michezo ya kimataifa laki hao midume aibu tubu wao kukaa tff kuvimbisha mitumbo yumekuchokeni

   ReplyDelete
  2. Akina mama oye jitahidini mg'arishe Tanzania nyie ndio mnajua soka achaneni na hao
   Kampa kampa tena

   ReplyDelete

  Item Reviewed: RC Kagera aipokea Kilimanjaro Queens, Awapongeza kwa ushindi Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top