728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 19, 2016

  RAIS DKT MAGUFULI ATINGA KAMPUNI YA KUCHAPISHA MAGAZETI YA CHAMA ,UHURU PUBLICATIONS LIMITED.

   
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM),akiwapungia baadhi ya Wananchi,akiwa ameambatana na katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM),Ndugu Abdulrahman Kinana (kulia kwa Rais) wakielekea kwenye ofisi za kampuni ya kuchapisha Magazeti ya Uhuru Puplication Limited wanaochapisha magaezeti ya Uhuru,Mzalendo,Burudani na redio ya Uhuru FM,mapema leo jijini Dar.PICHA ZAIDI ZINAKUJA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI ATINGA KAMPUNI YA KUCHAPISHA MAGAZETI YA CHAMA ,UHURU PUBLICATIONS LIMITED. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top