728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, September 3, 2016

  Rais Dkt. Magufuli arejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Zanzibar jioni hii ya Septemba 3, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar. PICHA NA IKULU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Dkt. Magufuli arejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top