728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Saturday, September 3, 2016

  RAIS DKT. MAGUFULI ALIVYOWAHUTUBIA WANANCHI WA UNGUJA JIONI HII

   Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapungia wananchi na wanaCCM wa Zanzibar jioni hii wakati akiwasili kwenye Uwanja Uwanja wa Kibandamaiti katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja leo.


    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja
   Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akihutubia wananchi katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja 
  Sehemu ya maelfu ya wananchi na wana-CCM wa Zanzibar wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja Uwanja wa Demokrasia uliopo eneo la Kibanda Maiti, Mjini Unguja Zanzibar kunafanyika Mkutano wa hadhara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT. MAGUFULI ALIVYOWAHUTUBIA WANANCHI WA UNGUJA JIONI HII Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top