728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 1, 2016

  RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MAADHIMISHO YA 14 SIKU YA WAHANDISI JIJINI DAR LEO

  Meza Kuu,Pichani tatu kushoto ni Rais Dkt John Pombe Magufuli akishiriki kama Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya 14 ya Wahandisi,yaliyofanyika leo Mlimani City,jijini Dar, 
  Baadhi ya Wahandisi wakiwa kwenye maadhimisho ya 14 ya siku ya Wahandisi, kwenye ukumbi wa MlimaniCity jijini Dar es Salaam asubuhi hii.Rais John Pombe Magufulindiye mgeni rasmi kwenye maadhimisho hayoambao kauli mbiu yake ni "Kuibadili Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati kupitia viwanda"
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MAADHIMISHO YA 14 SIKU YA WAHANDISI JIJINI DAR LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top