728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 26, 2016

  Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Dkt. Zainabu Chaula kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI

   Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Zainabu Chaula kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Ikulu jijini Dar es Salaam.
  Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Dkt. Zainabu Chaula mara baada ya kumuapisha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Dkt. John Pombe Magufuli amuapisha Dkt. Zainabu Chaula kuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top