728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 6, 2016

  RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA BURUNDI NA SUDAN KUSINI

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Burudi uliowasilishwa kwake na Aime Laurentine Kanyana Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na IKULU
  mge1
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Aggrey Tisa Sabuni Mjumbe maalum wa Rais wa Sudani Kusini aliyefika Ikulu kwa ajili ya mazungumzo na kuwasilisha ujumbe kutoka kwa Rais huyo wa Sudan kusini.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA BURUNDI NA SUDAN KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top