728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 15, 2016

  POLISI JIJINI DAR YAWAKAMATA BEACH BOYS 33 KWA TUHUMA ZA KUWAHADAA WASICHANA KIMAPENZI

  Polisi jijini Dar es Salaam wamewakamata watu 33 wakiwamo vijana wanaopenda kukaa ufukweni maarufu ‘beach boys’ kwa tuhuma za kuwahadaa wasichana kimapenzi.Vijana hao, wanadaiwa kuwarubuni wasichana kuwa watawafundisha kuogelea lakini baadaye huwalazimisha kufanya ngono wakiwa majini.

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema watuhumiwa hao wamekamatwa baada ya askari kufanya msako na kukutwa wakifanya mapenzi kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: POLISI JIJINI DAR YAWAKAMATA BEACH BOYS 33 KWA TUHUMA ZA KUWAHADAA WASICHANA KIMAPENZI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top