728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 1, 2016

  PATA HABARI ZA UHAKIKA ZA KUPATWA NA JUA KUPITIA TOVUTI ZA DAILYNEWS NA HABARILEO ONLINE KUTOKA RUJEWA

  Kaa tayari kupata habari na matukio motomoto yatakayo kua yakijiri kutoka eneo la Rujewa, Wilayani Mbararali mkoani Mbeya ambako tukio kubwa la kihistoria Duniani linakwemda kushuhudiwa hapo kesho kwa JUA KUPATWA KIPETE.

  Kampuni yako ya magazeti ya Serikali (TSN) ambao ni wachapaji magezti ya Daily News, Habarileo, Spotileo, Sunday News na Habaroleo Jumapili itakuwa ikikurushia matukio hayo kupitia  mitandao yake ya http://www.dailynews.co.tz na http://www.habarileo.co.tz 

  HAPA KAZI TU.....HAKUNA KULAZA HABARI.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: PATA HABARI ZA UHAKIKA ZA KUPATWA NA JUA KUPITIA TOVUTI ZA DAILYNEWS NA HABARILEO ONLINE KUTOKA RUJEWA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top