728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 21, 2016

  NEWZ ALERT:RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF NA KUVUNJA BODI


  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 21 Septemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Udhamini ya Mfuko wa Pensheni wa LAPF Prof. Hasa Mlawa kuanzia leo.

  Pamoja kutengua uteuzi wa Prof. Hasa Mlawa, Rais Magufuli amevunja Bodi ya Udhamini ya Mfuko huo.
  Uteuzi wa Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Udhamini ya LAPF utafanywa baadaye.


  Gerson Msigwa
  Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
  Dar es Salaam
  21 Septemba, 2016

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWZ ALERT:RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MWENYEKITI WA BODI YA LAPF NA KUVUNJA BODI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top