728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Sunday, September 11, 2016

  NEWZ ALERT:RAIS DKT MAGUFULI AHIRISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU NCHINI ZAMBIA

  Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa DKT.John Pombe Magufuli ameahirisha ziara yake nchini Zambia ili ashughulikie tatizo la tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya watu 16,mamia kujeruhiwa na nyumba kadhaa kubomolewa mkoani Kagera.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWZ ALERT:RAIS DKT MAGUFULI AHIRISHA ZIARA YAKE YA SIKU TATU NCHINI ZAMBIA Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top