728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 1, 2016

  NEWS ALERT: TANZANIA DAIMA YATUPIWA VIRAGO NJE NA MADALALI WA NHC LEO

  Mapema asubuhi ya leo, watu wanaodaiwa kuwa ni Madalali wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) wamefika ofisi za Gazeti la kila siku la Tanzania Daima zilizopo katika makutano ya Mtaa wa Mkwepu na Indraghand na kuwatolea vyombo vyote nje kufuatia deni la muda mrefu la kodi ya pango wanalodaiwa bila kulipwa. Mhariri Mtendaji wa Gazeti hilo, Neville Meena amekiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa wako kwenye Msukosuko mkubwa sana sasa ila wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unaendelea kufanyika kama kawaida. 
  Sehemu ya Wafanyakazi wa Gazeti hilo wakiwa nje ya Ofisi huku wakitafakari namna ya kufanya.
  Vyombo vya Ofisi hiyo vikiwa nje.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NEWS ALERT: TANZANIA DAIMA YATUPIWA VIRAGO NJE NA MADALALI WA NHC LEO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top