728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Tuesday, September 6, 2016

  NAIBU WAZIRI MPINA AKAGUA MIUNDO MBINU YA DAWASCO

   Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akisisitiza jambo kwa kaimu mkurugenzi wa Uzalishaji na usambazaji wa maji  Dawasco Injinia Aroun Joseph mara baada kufanya ziara ya kukagua miundo mbinu ya dawasco.                           
  Naibu Waziri wa Nchi Ofis ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina akitoa maelekezo kwa Mwanasheria kutoka Baraza la Usimamizi wa Mazingira Nchini NEMC  Manchare Heche jinsi ya kuweza kushughulikia tatizo la utririshaji maji taka.                          
   Kaimu Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji maji kutoka Dawasco injinia  Aroun Joseph akielezea jambo mbele ya naibu waziri Mh.Luhaga  Mpina mara baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa miundo mbinu ya Dawasco

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: NAIBU WAZIRI MPINA AKAGUA MIUNDO MBINU YA DAWASCO Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top