728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 26, 2016

  MWENYEKITI PAMOJA NA MAKAMO MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA WAANDISHI.

   Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Khamis Rashid Kheri kushoto akiwa pamoja na Makamo Mwenyekiti Maryam Ishau Abdalla wakionesha vyeti vyao walivyopatiwa baada ya kuchaguliwa na kuzungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
  kil1
  Makamo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Maryam Ishau akisisitiza jambo alipozungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mikakati walioiweka baada ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
  kil2
  Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa Mwenyekiti pamoja na Makamo Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar kuelezea mikakati walioiweka baada ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
  kil3
  Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Khamis Rashid Kheri akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa kuelezea mikakati yao walioiweka baada ya kuchaguliwa,katika ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.
   
  PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MWENYEKITI PAMOJA NA MAKAMO MWENYEKITI WA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR WAZUNGUMZA NA WAANDISHI. Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top