728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Monday, September 12, 2016

  MWENGE WA UHURU WAZINDUA KIWANDA BABATI


  Mkurugenzi wa kiwanda cha ukamuaji na usafishaji wa mafuta ya alizeti cha Mukta Agro-Proccesing Co Ltd cha mjini Babati Mkoani Manyara, Bakari Mukta akishika mwenge wa uhuru ulipofika kuzindua kiwanda hicho.
  Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka huu George Mbijima, akipokea zawadi ya mafuta toka kwa mkurugenzi wa kiwanda cha ukamuaji na usafishaji wa mafuta ya alizeti cha Mukta Agro-Proccesing Co Ltd Bakari Mukta, mjini Babati Mkoani Manyara.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MWENGE WA UHURU WAZINDUA KIWANDA BABATI Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top