728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Friday, September 2, 2016

  MUHIMBILI YAPOKEA PAKETI 50,000 ZA PAMPERS KUTOKA GSM FOUNDATION

  Mkurugenzi wa Tiba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Hedwiga Swai LEO akipokea msaada wa paketi 50,000 za pampers kutoka kwa Ofisa Habari wa GSM Foundation, Khalfan Kiwamba (kulia). Msaada huo ni kwa ajili ya watoto waliolazwa kwenye hospitali hiyo na una thamani ya Sh milioni 25,000.

  Paketi za pampers zikiwa katika hospitali hiyo LEO.
  Mkurugenzi wa Tiba katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Hedwiga Swai akizungumza na waandishi wa habari LEO baada ya kupokea msaada huo LEO.
  Picha na John Stephen, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MUHIMBILI YAPOKEA PAKETI 50,000 ZA PAMPERS KUTOKA GSM FOUNDATION Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top