728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Wednesday, September 28, 2016

  Muhimbili Yapokea Majokofu Sita Kutoka Auction Mart Leo

   Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Ageness Mtawa akipokea msaada wa majokofu sita kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Majembe Auction Mart Ltd, Sethi Moto. Majokofu hayo yatatumika kuhifadhi dawa katika wodi namba 16 Kibasila.  Kulia ni Meneja wa Jengo la Kibasila, Sister Leonarda Lodovick. 
  stv2
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Muhimbili Yapokea Majokofu Sita Kutoka Auction Mart Leo Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top