728x90 AdSpace


 • Habari za hivi Punde

  Thursday, September 29, 2016

  Muhimbili Yaendesha Semina Leo Kuimarisha Utoaji Huduma

  Mtoa Mada, Martha Mkony akizungumzia vifo vya watoto na jinsi ya kutoa huduma bora kwa watoto wanaozaliwa kabla ya muda na njia ya kuzuia vifo kwa watoto hao.
  semi2
  Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada hiyo Leo katika hospitali hiyo.
  semi3
  Dk Arvinder Singh akizungumzia umuhimu wa kununua vifaa tiba, kuwapo kwa madaktari na wauguzi wa kutosha, kuwapo kwa gesi ya uhakika, chumba cha kisasa cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu na madaktari na wauguzi kutoa huduma kwa wakati kwa watoto hao.
  semi4
  Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wakiwamo madaktari na wauguzi wakifuatilia mada kwenye semina hiyo.
  semi5
  Dk Hassan Mtani akitoa mada kuhusu kifafa cha mimba katika mkutano uliofanyika Leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
  semi6
  Baadhi ya washiriki wakisikiliza mada hiyo Leo katika hospitali hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Muhimbili Yaendesha Semina Leo Kuimarisha Utoaji Huduma Rating: 5 Reviewed By: Ahmad Michuzi
  Scroll to Top